Bei ya Pamba Tanzania imepanda kwa 125% toka mwaka wa fedha 2020/21 - 2021/22

Ongeleeni basi hata na wafanyakazi
Maana ninaamin kuwa 90% ya wafanyakazi wanaishi kwa mikopo sasa
yaan mshahara unaingia af unakopewa tena cjui ndo wanaita salary advance.
Yaan ni maisha ya ki re.
 
" Kwa mwendo huu Tanzania tutafika tunakotaka kwenda tena kwa kuwahi sana, Hongera Mama Samia, Watanzania tuko nyuma yako We chapa kazi achana na Wasio na jema "
 
Ongeleeni basi hata na wafanyakazi
Maana ninaamin kuwa 90% ya wafanyakazi wanaishi kwa mikopo sasa
yaan mshahara unaingia af unakopewa tena cjui ndo wanaita salary advance.
Yaan ni maisha ya ki re.
Wako salama Kabisa wafanyakazi
 
Huyu Mama kama mpaka pamba iliyomshinda Msukuma mwenzetu ameiweza basi hakuna wa kumtoa madarani,

Sisi alizeti imefikia elfu 12 toka buku 5,Mwanzoni mimi sikuwa namkubali ila kwa sasa nataka rasmi 2025 Samia anayo kura yangu,
Nzuri sana hii, Tumwombee zaidi Rais Samia,
 
Kwanini hii Pamba imeanguka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…