Bei ya Pasi original kampuni ya Philips

Bei ya Pasi original kampuni ya Philips

Kwa sasahivi 40k, Hizo pasi OG haziharibiki yangu ipo toka mwaka 2012 sijui hata Philips wanafanyaje biashara mana wametengeneza kitu hakiharibiki kabisa ili turudi dukani.
 
Kama ushawahi tumia ile OG Philips miaka ya 80's na 90's basi hizi zote za sasa utakubaliana nami ni mafamba tu...

Official websites za Philips ukitazama unakuta hizo model za pasi hazipo listed...
 
Kwa sasahivi 40k, Hizo pasi OG haziharibiki yangu ipo toka mwaka 2012 sijui hata Philips wanafanyaje biashara mana wametengeneza kitu hakiharibiki kabisa ili turudi dukani.

Philips wana products imara sana...
 
Ndio uniambie original ina rangi gani na fake ina rangi gani ili nisijenunua fake nikidhani ni original!

Arboder pia ana pasi muonekano wake ni kama hizo za Philips, ukijichanganya tu usitazame logo au jina then imekula kwako...
 
Kama ushawahi tumia ile OG Philips miaka ya 80's na 90's basi hizi zote za sasa utakubaliana nami ni mafamba tu...

Official websites za Philips ukitazama unakuta hizo model za pasi hazipo listed...
True philips saiv imeuza jina kwenye consumer electronics wamefocus kwenye products za medical
 
Arboder pia ana pasi muonekano wake ni kama hizo za Philips, ukijichanganya tu usitazame logo au jina then imekula kwako...
Kama tofauti ya majina hapo sawa! Hata rising wanayo pasi ambayo kwa shape unafanana na Philips ila imrandikwa Rising. Sasa Mimi nauliza ikiwa kuna zilizoandukwa Philips original na Philips fake nitatafautishaje Philips fake na Philips original?!
 
Zinakua na rangi kwenye ile sehemu ya kuongeza moto vimechorwa vimstari kwa rangi na Philips yenyewe neno limechorwa kwa rangi, rangi ya Gold yaan dhahabu

Sasa feki zinakua zimechorwa na rangi ya machungwa na rangi ya njano, akili kichwani mwako
Ahsante kwa ufafanuzi
 
Back
Top Bottom