Bei ya projector

marandu2010

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2010
Posts
1,201
Reaction score
446
Habari za mida hii waheshimiwa,naomba nipate kujua bei ya projector,iwe kama zipo za aina mbalimbali,nijue bei ya kila aina,kutoka dukani au kwa mtu.nawakilisha wakuu
 
ninayo mpya nilinunua mwezi huu mwanzoni.....TZS 1.7mln aina ya Epson
 
inategemeana unataka ikoje na uko wapi. Km una mtu wa nje ya nchi anaweza kukutafutia kwa laki 5 mpya au hata chini kidogo.

nimekupata mkuu,nitajitahidi kumtumia rafiki yangu moja kama itawezekana itakuwa nzuri sana,yeye yuko uingereza
 
kama hautakuwa na haraka hadi july mimi nikuchukulie Epson EB-S9 LCD kwa shillingi 900000 just cheki specification zake kwa google kama utaipenda ni pm
 
kama hautakuwa na haraka hadi july mimi nikuchukulie Epson EB-S9 LCD kwa shillingi 900000 just cheki specification zake kwa google kama utaipenda ni pm

sina haraka sana mkuu,ninatafuta info zitakazonisaidia baadaye kidogo,nitakapokuwa tayari nitakujulisha mkuu,asante sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…