marandu2010
JF-Expert Member
- Aug 7, 2010
- 1,201
- 446
Habari za mida hii waheshimiwa,naomba nipate kujua bei ya projector,iwe kama zipo za aina mbalimbali,nijue bei ya kila aina,kutoka dukani au kwa mtu.nawakilisha wakuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ninayo mpya nilinunua mwezi huu mwanzoni.....TZS 1.7mln aina ya Epson
Inategemeana unataka ikoje na uko wapi. Km una mtu wa nje ya nchi anaweza kukutafutia kwa laki 5 mpya au hata chini kidogo.nashukuru sana mkuu kwa information.
inategemeana unataka ikoje na uko wapi. Km una mtu wa nje ya nchi anaweza kukutafutia kwa laki 5 mpya au hata chini kidogo.
kama hautakuwa na haraka hadi july mimi nikuchukulie Epson EB-S9 LCD kwa shillingi 900000 just cheki specification zake kwa google kama utaipenda ni pm