Andre02150
JF-Expert Member
- Feb 2, 2010
- 332
- 129
Bahati mbaya tu bro.cement ya wazo hapa twiga cement imeuzwa chini ya 10,000 muda tusi uongo labda kama uko mikoani ukerewe huko.Mbona sijawahi nunua cement kwa Tsh 9700/= na wala chini ya Tsh 12000/=
Sent from my Diamond Crypto using JamiiForums mobile app
Ila hizi lugha bwana, sasa walaji wa nini, cement? Hivi kweli consumers ndio walaji kiswahili eeeenh?Saruji (cement) imepanda ghafla hadi kufikia 12,500 kwa mfuko wa kilo 50. Wiki 2 zilizopita, bei ya saruji ilikuwa 9700 kwa mfuko. Wafanyabiashara wamekuwa wakihusishwa kupanda kwa bei na kusimamishwa kwa shughuli za uzalishaji katika kiwanda cha Dangote-Mtwara. Ni vyema mamlaka husika za serikali zikatupia macho hali hii kwani kupanda kwa saruji kwa takriban asilimia 30 imatuumiza sana sisi walaji (consumers)
Hiyo hiyo ya twiga nimenunua siku siyo nyingi dsm 12K-13K siyo kiwandani!Bahati mbaya tu bro.cement ya wazo hapa twiga cement imeuzwa chini ya 10,000 muda tusi uongo labda kama uko mikoani ukerewe huko.
Post sent using JamiiForums mobile app
Hiyo 9700 ilikuwa wapi?
Sent from my TV
Ila hizi lugha bwana, sasa walaji wa nini, cement? Hivi kweli consumers ndio walaji kiswahili eeeenh?
Mbona sijawahi nunua cement kwa Tsh 9700/= na wala chini ya Tsh 12000/=
Sent from my Diamond Crypto using JamiiForums mobile app
Mbona Mimi nanunua sembe kg 50 kwa 68000 na silalamiki?
Acha kujenga ujaribu kupanga uone.
Post sent using JamiiForums mobile app
Bahati mbaya tu bro.cement ya wazo hapa twiga cement imeuzwa chini ya 10,000 muda tusi uongo labda kama uko mikoani ukerewe huko.
Post sent using JamiiForums mobile app
Bahati mbaya tu bro.cement ya wazo hapa twiga cement imeuzwa chini ya 10,000 muda tusi uongo labda kama uko mikoani ukerewe huko.
Post sent using JamiiForums mobile app