Bei ya saruji (Cement) Dar yapanda ).

Bei ya saruji (Cement) Dar yapanda ).

Andre02150

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2010
Posts
332
Reaction score
129
Saruji (cement) imepanda ghafla hadi kufikia 12,500 kwa mfuko wa kilo 50. Wiki 2 zilizopita, bei ya saruji ilikuwa 9700 kwa mfuko. Wafanyabiashara wamekuwa wakihusishwa kupanda kwa bei na kusimamishwa kwa shughuli za uzalishaji katika kiwanda cha Dangote-Mtwara. Ni vyema mamlaka husika za serikali zikatupia macho hali hii kwani kupanda kwa saruji kwa takriban asilimia 30 imatuumiza sana sisi walaji (consumers)
 
Sisi wa mikoani tulishazoea, komaaeni WanaMakonda

humbled
 
Mbona sijawahi nunua cement kwa Tsh 9700/= na wala chini ya Tsh 12000/=

Sent from my Diamond Crypto using JamiiForums mobile app
 
Huyu naye wa wapi ?
Wenzio huku mikoani ni zaidi ya hiyo mnayonunulia nyie huko na bado tunajenga.
Acha kulialia
 
Mbona Mimi nanunua sembe kg 50 kwa 68000 na silalamiki?
Acha kujenga ujaribu kupanga uone.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mbona sijawahi nunua cement kwa Tsh 9700/= na wala chini ya Tsh 12000/=

Sent from my Diamond Crypto using JamiiForums mobile app
Bahati mbaya tu bro.cement ya wazo hapa twiga cement imeuzwa chini ya 10,000 muda tusi uongo labda kama uko mikoani ukerewe huko.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Saruji (cement) imepanda ghafla hadi kufikia 12,500 kwa mfuko wa kilo 50. Wiki 2 zilizopita, bei ya saruji ilikuwa 9700 kwa mfuko. Wafanyabiashara wamekuwa wakihusishwa kupanda kwa bei na kusimamishwa kwa shughuli za uzalishaji katika kiwanda cha Dangote-Mtwara. Ni vyema mamlaka husika za serikali zikatupia macho hali hii kwani kupanda kwa saruji kwa takriban asilimia 30 imatuumiza sana sisi walaji (consumers)
Ila hizi lugha bwana, sasa walaji wa nini, cement? Hivi kweli consumers ndio walaji kiswahili eeeenh?
 
Bahati mbaya tu bro.cement ya wazo hapa twiga cement imeuzwa chini ya 10,000 muda tusi uongo labda kama uko mikoani ukerewe huko.

Post sent using JamiiForums mobile app
Hiyo hiyo ya twiga nimenunua siku siyo nyingi dsm 12K-13K siyo kiwandani!

Sent from my Diamond Crypto using JamiiForums mobile app
 
Mkoa wa Mbeya una kiwanda cha lakini mfuko wa 50kg ni 18000
 
Mbona sijawahi nunua cement kwa Tsh 9700/= na wala chini ya Tsh 12000/=

Sent from my Diamond Crypto using JamiiForums mobile app

Pengine hujawahi kutenga muda kutafuta simenti bei nafuu madukani. Wauzaji wengi wa saruji Tegeta waliweka mpaka matangazo barabarani wakiuza kwa 9,700 mfuko kilo 50.
 
Mbona Mimi nanunua sembe kg 50 kwa 68000 na silalamiki?
Acha kujenga ujaribu kupanga uone.

Post sent using JamiiForums mobile app

Hakuna aliyekuzuia kulalamika. Kila mtu anamtizamo tofauti katika uhitaji na mpangilio wa bei... Pengine wewe ongezeko la sembe unaona ni haki na sawa. Mimi naona ongezeko la bei ktk cement linanikwaza kiuchumi.
 
Cement twiga sh 10000 atra twiga plus sh 10500 bei ya leo

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom