ijoz JF-Expert Member Joined Apr 16, 2012 Posts 731 Reaction score 715 Nov 2, 2013 #1 Viongozi amani kwenu, Tafadhali,mwenye kufahamu bei ya seiko 5 (21 hadi 25 jewelles) kwa Dar naomba anijuze,ninahitaji kununua. Wasaalam, ijoz Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Viongozi amani kwenu, Tafadhali,mwenye kufahamu bei ya seiko 5 (21 hadi 25 jewelles) kwa Dar naomba anijuze,ninahitaji kununua. Wasaalam, ijoz
N Nchoji Member Joined Jul 9, 2013 Posts 49 Reaction score 16 Nov 4, 2013 #2 bahati mbaya wakati huu niko DRC Seiko 5 Original wanauza Dollar 75. Duka hili wanapunguzo la asilimia 40 waweza kufanya mahesabu na madafu ya bongo ukajua kiasi gani. Hii ni katika kulinganisha tu maana wewe unataka bei ya bongo.
bahati mbaya wakati huu niko DRC Seiko 5 Original wanauza Dollar 75. Duka hili wanapunguzo la asilimia 40 waweza kufanya mahesabu na madafu ya bongo ukajua kiasi gani. Hii ni katika kulinganisha tu maana wewe unataka bei ya bongo.