bahati mbaya wakati huu niko DRC Seiko 5 Original wanauza Dollar 75. Duka hili wanapunguzo la asilimia 40 waweza kufanya mahesabu na madafu ya bongo ukajua kiasi gani. Hii ni katika kulinganisha tu maana wewe unataka bei ya bongo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.