The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Sio siri hili jambo linaniumiza sana moyo wangu sijui kuna ushirikina gani kwenye suala la sukari hapa nchini kwetu.
Maana licha ya kuwa tuko jirani na bahari kuu tuna ardhi nzuri na tuna kila fursa ya kunufaika kuliko majirani zetu lakini bado tunapata mateso ya kununua sukari kwa gharama kubwa kuliko jirani zetu wote.
Tangu nakua mpaka sasa ni mtu mzima mwendo ni uleule nakumbu ka nilisoma na jamaa mmoja alikuwa akienda na baiskeli kuchukua sukari za magendo Zambia na kuiuza Tanzania Kisha analipa ada.
Ndugu zangu wafanya maamuzi hebu kuweni serious basi.
Pia, soma=> Munde Tambwe: Kwanini Tanzania Bei ya Sukari ni kubwa kuliko Zambia, Malawi na Rwanda? Kuna Tatizo mahali tuambiane ukweli!