Bei ya sukari Tanzania ni zaidi ya 3000 wakati Msumbiji, Malawi, Kenya, Uganda na Zambia haizidi 2500. Kwani sisi dhambi yetu nini?

Ndugu zangu wafanya maamuzi hebu kuweni serious basi.
Mchele umeshuka sana bei shida ya Sukari ni wazalishaji Mchele sasa hivi mapaka wa plastic unapata Wewe tu na Hela yako 2000 upo Mchele asili alafu upo wa GMO utachagua unataka upi wa asili au GMO, Sukari miwa sidhani km IPO ya Plastic au Wewe umewahi kukutana na miwa ya GMO? Ninaposema Plastic namaanisha GMO ukitaka kuthibitisha tafuta machungwa ya GMO yaan yale ya Mwendokasi machungwa ya siku 3 Wiki tayari nje rangi ya kuiva ndani bichi limejaajaa upepo tu plastic tupu maji halina sijui aliekuja na teknolojia hii ya kitapeli alifikiria nini
 
Sio siri hili jambo linaniumiza sana moyo wangu sijui kuna ushirikina gani kwenye suala la sukari hapa nchini kwetu.

Maana licha ya kuwa tuko jirani na bahari kuu tuna ardhi nzuri na tuna kila fursa ya kunufaika kuliko majirani zetu lakini bado tunapata mateso ya kununua sukari kwa gharama kubwa kuliko jirani zetu wote.

Tangu nakua mpaka sasa ni mtu mzima mwendo ni uleule nakumbu ka nilisoma na jamaa mmoja alikuwa akienda na baiskeli kuchukua sukari za magendo Zambia na kuiuza Tanzania Kisha analipa ada.

Ndugu zangu wafanya maamuzi hebu kuweni serious basi.
uongo mtakatifu
 
Lazima iwe hivyo, kwa sababu anawapigania Watanzania bei ishuke.

BBashe anapigwa vita kuagiza sukari ya dharura tu, iliyoshusha bei ya sukari kutoka shilllingi elfu kumi mpaka kufikia elfu tatu. Bashe anapigwa vita kubadili sheria iliyokuwa inawalinda hao mafisadi.

Labda poyoyo tu asiyeziona jitihada za Bashe kupambana na hiyo "cartel".
Bashe amehusika katika kufumka kwa bei ya sukari na hatua anayochukua ni katika kujisafisha! Katika hilo hana utetezi;
 
Ndio maana wanazisi kutajirika sisi wanatuona Nyani tu.

Yes unashangaa kiongozi wa sirikali ananunua kiwanja kwa Milioni 500 ,anajenga nyumba ya bilioni moja nukta 2 ,anamiliki mabasi 10 ya biashara ,hadi unajiuliza huyu jamaa hela anapata wapi wakati mshahara unajulikana na hata akitunza bila kuchukua chochote kwa miaka 10 hawezi kufanya hayo....Jibu ni WEEZY WEEZY ,CARTEL ,RUSHWA ,UPIGAJI.
 
Lazima iwe hivyo, kwa sababu anawapigania Watanzania bei ishuke.

BBashe anapigwa vita kuagiza sukari ya dharura tu, iliyoshusha bei ya sukari kutoka shilllingi elfu kumi mpaka kufikia elfu tatu. Bashe anapigwa vita kubadili sheria iliyokuwa inawalinda hao mafisadi.

Labda poyoyo tu asiyeziona jitihada za Bashe kupambana na hiyo "cartel".

Msikilize Mpina na Lissu kuhusu "weezy" wa BASHE kupitia Sukari......Bei kupanda hadi elfu 10 ndiyo hizo janja janja za BASHE ili awape "WAUZA SIMU K/KKO" vibali vya kuagiza sukari.
 
Dangote alitaka kuuza cement kwa elfu 8 ,Genge la WEZI(CARTEL) likamuundia zengwe kubwa sana nusura afunge kiwanda.
Hata waporaji wa Dhahabu walipofika,

Walitaka kulipa wazawa mishahara Kwa rate ya kimataifa, kwamba mfagiaji tu alipwe M 12 Kwa mwezi,

Wanasiasa wakasema HAPANA, msiwalipe Kwa kiwango hicho maana wafanyakazi serikalini wataacha KAZI na kukimbilia migodini.

Roho mbaya!!
 
Lazima iwe hivyo, kwa sababu anawapigania Watanzania bei ishuke.

BBashe anapigwa vita kuagiza sukari ya dharura tu, iliyoshusha bei ya sukari kutoka shilllingi elfu kumi mpaka kufikia elfu tatu. Bashe anapigwa vita kubadili sheria iliyokuwa inawalinda hao mafisadi.

Labda poyoyo tu asiyeziona jitihada za Bashe kupambana na hiyo "cartel".
Hapa nimekufuata Mkuu
 
Hata waporaji wa Dhahabu walipofika,

Walitaka kulipa wazawa mishahara Kwa rate ya kimataifa, kwamba mfagiaji tu alipwe M 12 Kwa mwezi,

Wanasiasa wakasema HAPANA, msiwalipe Kwa kiwango hicho maana wafanyakazi serikalini wataacha KAZI na kukimbilia migodini.

Roho mbaya!!
NCHI imejaa kauzibe kila sehemu
 
Sukari inanunuliwa kwa bei halali nchi jirani na inakuja kuuzwa nchini kwa bei ya chini kuliko bei halali ya nchi! Bado huoni bei yetu halali ni ya kifisadi? Kwa nini nchi zote zinazo tuzunguka tena nyingine ni landlocked bei yao iko chini? Huoni kuwa serikali yetu inahusika katika huu ufisadi kwa kuwaneemesha viongozi wachache na wafanyabiashara?
Unapenda vya bure
 
Hata waporaji wa Dhahabu walipofika,

Walitaka kulipa wazawa mishahara Kwa rate ya kimataifa, kwamba mfagiaji tu alipwe M 12 Kwa mwezi,

Wanasiasa wakasema HAPANA, msiwalipe Kwa kiwango hicho maana wafanyakazi serikalini wataacha KAZI na kukimbilia migodini.

Roho mbaya!!

Aiseeee ni kweli mkuu ,kampuni za kizungu zikija bongo zinaanza kwa kulipa vizuri sana ila wakishaanza kuingia ma HR wenye "NGOZI YA KOTA" wanapunguza mishahara hadi inakuja kuwa "MANARA" aka Laki 7.

Watu tuna roho mbaya sana ,hatutaki neema kwa mwenzako ,wanashindwa kujua mwenzako akifanikiwa ni rahisi kueneza chain ya mzunguko kwa wengine hivy okupunguza ukali wa maisha kwenye cycle.
 
Wanadai Eti Watz wakilipwa pesa nyingi watakuwa viburi walevi na watajaa dharau Kwa mabosi zao,

Sasa sijui maisha binafsi yawagusu nini!!
 
Hata waporaji wa Dhahabu walipofika,

Walitaka kulipa wazawa mishahara Kwa rate ya kimataifa, kwamba mfagiaji tu alipwe M 12 Kwa mwezi,

Wanasiasa wakasema HAPANA, msiwalipe Kwa kiwango hicho maana wafanyakazi serikalini wataacha KAZI na kukimbilia migodini.

Roho mbaya!!
Hizo porojo za kijinga.

Watu wamekuja kuvuna halafu faida wakuwachie wewe?
 
Sio siri hili jambo linaniumiza sana moyo wangu sijui kuna ushirikina gani kwenye suala la sukari hapa nchini kwetu.

Maana licha ya kuwa tuko jirani na bahari kuu tuna ardhi nzuri na tuna kila fursa ya kunufaika kuliko majirani zetu lakini bado tunapata mateso ya kununua sukari kwa gharama kubwa kuliko jirani zetu wote.

Tangu nakua mpaka sasa ni mtu mzima mwendo ni uleule nakumbu ka nilisoma na jamaa mmoja alikuwa akienda na baiskeli kuchukua sukari za magendo Zambia na kuiuza Tanzania Kisha analipa ada.

Ndugu zangu wafanya maamuzi hebu kuweni serious basi.
Kadi ya Kliniki
 
Dhambi yenu ujinga na uoga.
 
Bei ya kinywaji cha Coca-Cola marekani ni TZS 4000-6000.Bei kwa Tanzania ni tzs 600 - 1000. Umegundua nini?
Mkuu hapo umetudanganya. Bei ya soda USA inaanzia 75cents ambazo kibongo bongo ni kama 1920Tsh.
 
Bashe amehusika katika kufumka kwa bei ya sukari na hatua anayochukua ni katika kujisafisha! Katika hilo hana utetezi;
hayo wadanganye wajinga wenzio, Bashe aliopigania mpaka akaagiza sukari wakati hao wazee wanadanganya meli hakuna?

Msiongee kwa mihemko yenu, ukweli upo wazi kama saa saba mchana.
 
Back
Top Bottom