Nani aliyeitengeneza hiyo cartel? Nani anayeisambaratisha? Kila siku story zile zile. Anayetengeneza tatizo ndio anayetafuta solutions zake. Only in Tanzania.
Kitu ambacho tunasahau ni kuwa watanzania wanaongezeka. Wana njaa ya kuona wanaishi na kupata maisha bora. Haya mambo ya ujanja ujanja ambayo yanawanufaisha wachache, siku zake nazo sio nyingi.
Ingekuwa inapendeza, basi tuanze kuwa responsible. Nchi yetu haitajengwa kwa haya mambo ambayo yanakera na kama watu wamekuwa sugu, wanaona hawawezi kufanywa kitu, hata wakiharibu kiasi gani.
Kufanya cartel ni uhujumu uchumi. Lets hope kuna watakaowajibika. Otherwise, midomo ikae kimya yetu milele maana hatuna jipya.