Kwani nilivyosema Cif ya Verossa nimemtaja mtu? Watu wengine bana.CIF ya Verosa ni kwako wewe na mimi.
Kwa mwingine mwenye hela anaona hawezi kushuka kwenye Range Rover kavaa suti ya 70,000/=
Lazima tuelewe diversity za consumers, uwezo, tastes na vipaumbele. Mwingine anaona hawezi kununua suti ya $500 lakini ana iPhone ya $1,000 mfukoni, bei ya ardhi Mkuranga! Personal priorities.
kwa mtu alietembea duniani na mjanja huwezi kumuuzia suti laki 6 iliyoshonwa mwenge...
maana hata hicho kitambaa kimetoka china tu na asia wakijitahidi uturuki..
wakati laki sita ukiweka kwenye usd.. unaagiza suti safi kabisa kutoka milan.. na inatumwa kwa ems au dhl parcel mpaka mlangoni...
fundi wa mwenge kuuza suti laki 3 tu ni wizi mkubwa....
Suti za aliexpress hawatoi details muhimu, kwa mfano kitambaa aina gani wanaficha. Ikija nailoni 100% unafanyaje?Agiza suti aliexpress tu bei nzuri suti kiwango.
Unless ana pesa ya kuvaa made to order from Versace, Gucci, Armani, na wengineo lakini hizo za high street zote ni kutoka huko huko Vietnam, Thailand, Sri Lanka, na kwingineko.Okay, wewe mjanja na uliyetembea duniani huvai suti za Mwenge kwa sababu vitambaa vyake ni vya China. Hizo zako za Italy vitambaa vimetoka wapi?
Kwa sababu suti inaposema "Made in Italy" haijasema kitambaa kilitoka wapi. You should know that. Kingine, suti nyingi za maelfu ya dola unakuta zimetengenezwa India, China, Vietnam, Mexico n.k. Manufacturing labor cost ni aghali mno nchi za Magharibi kwenye ma designer, makampuni, wateja, maduka na makampuni ya nguo. Again, you should know this.
Kingine, kwa wewe uliyetembea sana na mjanja nilitegemea ujue kwamba wenzio "wajanja" hao hawanunui suti ya "kuagiza toka Milan" ambayo hawajapimwa wala kuijaribu. Inaweza isikae sawa. Hakuna one-size-fits-all formula kwenye uvaaji.
hata hizo made to order I don't see why zisitengenezwe huko huko Vietnam, China, Singapore, n.k.Unless ana pesa ya kuvaa made to order from Versace, Gucci, Armani, na wengineo lakini hizo za high street zote ni kutoka huko huko Vietnam, Thailand, Sri Lanka, na kwingineko.
Yuko wapi huyu na ndio nani?
Sana sana sanaaa, hawajui tu watuKwani mkinunua kwenye ile mitumba "grade one" si unatokelezea tu!😉
Aisee, umeuaaaa wewe hujui tuWe shida yako Suti nzuri ya kukupendeza au ya kuvaa miaka mingi? Ukitaka za kuvaa miaka mingi shonesha Suti za ngozi ya mamba,ng'ombe,punda hizo zinadumu mana wenzio kina Mpoto wanashonesha hadi za magunia
Made to order haziwezi kutengenezwa huko kwani ni suit moja tu unashonewa kwa makubaliano yako na designer na hiyo ni pamoja na muda, unaweza kushonewe ndani ya masaa 24.
Ni Mbunifu wa mitindo ya Suti za kisasa yupo Dar es SalaamYuko wapi huyu na ndio nani?
suit moja tu unashonewa lakini hauko peke yako, bado wanahitaji ki cheap labor factory cha ku deal na made-to-order production. Tena hizo made to order za kuwatumia vipimo vyako online nadhani zinatengenezwa na automated 3D copy machine, I won't be surprised. Kwa sababu template ya designer iko pale pale, ni kubadili vipimo tu, mashine inazichapisha hizo I tell you. Na kuna combination fulani za vipimo zinaombwa more often, unakuta washazichapa hata kabla huja order. No wonder zinakuja in 24 hrs kama ulivyosema. Guangzhou bado inahusika.
Ukavaa automatikali unakua unajua kiingereza?kwa lugha nyingine ni Ml 2.9 suti moja ukitaka na namba yake ntakugea mkuu
Mkuu we upo k/kooNjoo kariakoo utapata Suti nzuri kuanzia kwa 90,000 na kuendelea kama unachukua moja kama ni nyingi kuanzia 3 ni kuanzia 70,000 na kuendelea ni kali ukivaa hata kama ulikuwa na gundu la mavi utakuwa clean yaani better like never before
Suti za aliexpress hawatoi details muhimu, kwa mfano kitambaa aina gani wanaficha. Ikija nailoni 100% unafanyaje?
ndio hapo sasa, linakuwa koti la mvua. Kitambaa ni muhimu sana kujua kabla. Na mara nyingi polyester, nylon, wanaficha kwenye mitandao ya kuagiza.ha ha ha ikija nylon inabidi uwe unavaa masika tu kwenye outdoor party
Ukishakuwa na pesa ya kufanya order ya suit direct kutoka kwa Versace, unakuwa na number ya Stella Versace mwenyewe na vipimo vyako wanavyo, suit inashonwa within 24 hours kutoka ofisini kwao.
Mkuu bei zake huanzia 5K mpk milioni 7 huko...
Wengine ndo tunashauri kuliko kununua zile takataka kwa bei hiyo bora aagize tu ulaya kwenye suti za maana.