Okay, wewe mjanja na uliyetembea duniani huvai suti za Mwenge kwa sababu vitambaa vyake ni vya China. Hizo zako za Italy vitambaa vimetoka wapi?
Kwa sababu suti inaposema "Made in Italy" haijasema kitambaa kilitoka wapi. You should know that. Kingine, suti nyingi za maelfu ya dola unakuta zimetengenezwa India, China, Vietnam, Mexico n.k. Manufacturing labor cost ni aghali mno nchi za Magharibi kwenye ma designer, makampuni, wateja, maduka na makampuni ya nguo. Again, you should know this.
Kingine, kwa wewe uliyetembea sana na mjanja nilitegemea ujue kwamba wenzio "wajanja" hao hawanunui suti ya "kuagiza toka Milan" ambayo hawajapimwa wala kuijaribu. Inaweza isikae sawa. Hakuna one-size-fits-all formula kwenye uvaaji.