Hahaaaa!! Ama kweli ameshona kulingana na mwili.Mkuu...hiyo suti nimefanya fitting personally! Labda useme camera quality na kwa vile nimeipiga ikiwa kitandani.
eniwei kama picha zangu hazijakushawishi nenda page yao ya instagram kama ukikuta haziko balanced pia nitakubali!!!
NB: nani amekuambia mwili wangu uko balanced..huenda ameshona kuendana na mwili wangu na imbalances zake, hahah!!
Hahaaaa!! Ama kweli ameshona kulingana na mwili.
Mkuu nami nahitaji tupe contacts.Mtaa wa Mchikichi/Nyamwezi
Njoo mtaa huo niliokuandikia huwezi potea ila contacts zangu huwa siweki kuna ma strangers wengi humu ndani nimebadili namba kama mara 2Mkuu nami nahitaji tupe contacts.
Njoo mtaa huo niliokuandikia huwezi potea ila contacts zangu huwa siweki kuna ma strangers wengi humu ndani nimebadili namba kama mara 2
Wazo zuri kiongozi nitalifanyia kazi shukrani sana.Jitahidi uwe na namba ya biashara na personal. Utaepuka mengi!
Mimi nilikuwa na namba moja tu tangu nimeanza kumiliki simu 2004 huko nikaapa sitokaa ninunue simu/line nyingine lakini nilipoanza kazi - esp kwa kazi za huduma kwa wateja - niligundua umuhimu wake!
try this mkuu!
Hii ndio be ghari.?1,000,000
Hapana ni bei ghali.Hii ndio be ghari.?
QUOTE="RRONDO, post: 17791009, member: 20710"]Huwa navizia ile SALE yao wanayofungua duka saa moja asubuhi. Ukija saa mbili duka jeupe.
QUOTE="RRONDO, post: 17791009, member: 20710"]Huwa navizia ile SALE yao wanayofungua duka saa moja asubuhi. Ukija saa mbili duka jeupe.
Aisee umenifurahisha sanaaaa.We shida yako Suti nzuri ya kukupendeza au ya kuvaa miaka mingi? Ukitaka za kuvaa miaka mingi shonesha Suti za ngozi ya mamba,ng'ombe,punda hizo zinadumu mana wenzio kina Mpoto wanashonesha hadi za magunia
Mkuu can you PM me your number pleaseKama huamini uliza anatumia vitambaa gani kushonea hizo suti? Njoo kariakoo upendeze usibabuliwe bei ya suti 10 ukauziwa suti moja wakati ubora ni uleule
Hahahaa kuna burudan humu.We shida yako Suti nzuri ya kukupendeza au ya kuvaa miaka mingi? Ukitaka za kuvaa miaka mingi shonesha Suti za ngozi ya mamba,ng'ombe,punda hizo zinadumu mana wenzio kina Mpoto wanashonesha hadi za magunia
Laki tano suti moja? Yaani koti tu na suruali? Mmmmmm mbona ukiwa na laki unashona siyi tena inatoka vizuri tuZe special au mtan bespoke wote wako vzur andaa lak 5 had 6