Bei ya suti za Sheria Ngowi

Bei ya suti za Sheria Ngowi

Mkuu...hiyo suti nimefanya fitting personally! Labda useme camera quality na kwa vile nimeipiga ikiwa kitandani.

eniwei kama picha zangu hazijakushawishi nenda page yao ya instagram kama ukikuta haziko balanced pia nitakubali!!!

NB: nani amekuambia mwili wangu uko balanced..huenda ameshona kuendana na mwili wangu na imbalances zake, hahah!!
Hahaaaa!! Ama kweli ameshona kulingana na mwili.
 
Njoo mtaa huo niliokuandikia huwezi potea ila contacts zangu huwa siweki kuna ma strangers wengi humu ndani nimebadili namba kama mara 2

Jitahidi uwe na namba ya biashara na personal. Utaepuka mengi!

Mimi nilikuwa na namba moja tu tangu nimeanza kumiliki simu 2004 huko nikaapa sitokaa ninunue simu/line nyingine lakini nilipoanza kazi - esp kwa kazi za huduma kwa wateja - niligundua umuhimu wake!

try this mkuu!
 
Wazo zuri kiongozi nitalifanyia kazi shukrani sana.
 
QUOTE="RRONDO, post: 17791009, member: 20710"]Huwa navizia ile SALE yao wanayofungua duka saa moja asubuhi. Ukija saa mbili duka jeupe.[/QUOTE]

Mkuu duka lao lipo kariakoo sehu gani??? nipe maujanja na Mimi nionekane born town kitamboo
 
QUOTE="RRONDO, post: 17791009, member: 20710"]Huwa navizia ile SALE yao wanayofungua duka saa moja asubuhi. Ukija saa mbili duka jeupe.

Mkuu duka lao lipo kariakoo sehu gani??? nipe maujanja na Mimi nionekane born town kitamboo[/QUOTE]
327-329 Oxford Stree,London.
 
Agiza suti aliexpress tu bei nzuri suti kiwango.
 
QUOTE="RRONDO, post: 17791009, member: 20710"]Huwa navizia ile SALE yao wanayofungua duka saa moja asubuhi. Ukija saa mbili duka jeupe.

Mkuu duka lao lipo kariakoo sehu gani??? nipe maujanja na Mimi nionekane born town kitamboo[/QUOTE]
Sio kkoo anamaanisha uturuki uko akienda
 
We shida yako Suti nzuri ya kukupendeza au ya kuvaa miaka mingi? Ukitaka za kuvaa miaka mingi shonesha Suti za ngozi ya mamba,ng'ombe,punda hizo zinadumu mana wenzio kina Mpoto wanashonesha hadi za magunia
Aisee umenifurahisha sanaaaa.
Mimi nina shida na suit ya harusi November waweza kunitumia sample picha za hizo suti mkuu
 
We shida yako Suti nzuri ya kukupendeza au ya kuvaa miaka mingi? Ukitaka za kuvaa miaka mingi shonesha Suti za ngozi ya mamba,ng'ombe,punda hizo zinadumu mana wenzio kina Mpoto wanashonesha hadi za magunia
Hahahaa kuna burudan humu.
 
Back
Top Bottom