Bei ya suti za Sheria Ngowi

Bei ya suti za Sheria Ngowi

Wapo Instagram utaona sut zao ukiwafollow wapo vzr hakuna tofaut na sheria ngowi
 
1474443638833.jpg
Mtani Bespoke moja ya kazi Zake
 
Unabidi ujipange mkuu. Sio cha mtoto. Mimi nilimbahatisha enzi zile akiwa bado India. Alikuwa cheap sana. Sasa anatengenezea suti marais akina Kikwete na Lungu unategemea nini?
Bei gani mdau tutafikatu inachotakiwa itajwe bei,mambo ya India sijui marais yanatoka wapi,weka bei unayoijua hapa ndo jibu linalosubiriwa
 
Back
Top Bottom