Bei ya tango sokoni imekuwa kubwa

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
9,091
Reaction score
21,087
Dar hapa bei ya tango sio poa

Tango 1 linaanzia 1000 kupanda juu
Zamani tulinunua sh 100 tu

Matango Yana kazi nyingine huko Dar

Matango yanaadimika au be mkasi

Matango hayapendwi na watoto na watu wengi

Huwezi kula tango zaidi 1

Kwanini bei iwe kubwa hivi

Namalizia utafiti wangu wa kwanini tango linapanda bei, inawezekana Lina kazi nyingine

Nitaleta majibu majibu ya utafiti mwezi ujao
 
Mkuu, hujui kuwa bidhaa ikiadimika sokoni bei pia hupanda?
Uzalishaji unakuwa chini ama watumiaji wanakuwa wengi.

Matunda yana msimu.
Sababu zote hapo juu zaweza kuwa chanzo cha point yako.
 
Watu wanatumia Tango kitungu maji na mboga na matunda mengine kurekebisha kiwango cha sukari,Presha n.k ni lazima liadimike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…