Johnson json
Member
- Aug 20, 2023
- 43
- 61
Habari za mda huu wanajamvi, samahani ninauliza Bei ya tray moja ya mayai Kwa kahama, kama Kuna mtu anafahamu?
Unapatikana kahama sehemu ganiLayers nauza 9000 tsh kwa trey ukichukua trey 30 naleta mpka ulipo
Yuko moshi analewa sidhani kama ana hayo mayai😎Unapatikana kahama sehemu gani
Duuh aiseeYuko moshi analewa sidhani kama ana hayo mayai😎