Bei ya ukwaju

Bei ya ukwaju

washeby

Member
Joined
May 28, 2015
Posts
32
Reaction score
4
Hi wana jf,anae fahamu bei ya ukwaju iwe ni kwa debe ama kilo msaada tafadhali.
 
Bei inatofautiana mkoa na mkoa. Ingekuwa vizuri ukaenda mwenyewe sokoni. Miaka miwili iliyopita bei yake mkoani arusha ilikuwa 2500 mpk 3000 kwa kilo.
 
Back
Top Bottom