Baada ya Bwawa la umeme kukamilika tunaomba rekebisheni bei za umeme kwa watu wa kawaida. Sisi watu wa kawaida napendekeza unit 1 kwa tshs 100 bila ukomo. Au wekeni umeme kama mabando ya simu ili mtu awe na uhuru wa kuchagua maana kuna wakati mtu kuhitaji umeme mwingi kwa shughuli maalum. INAPASWA UMEME UWE RAHISI KWA MATUMIZI KAMA NISHATI SAFI HIVYO KUTUNZA MAZINGIRA. HUU NI WAKATI WA KIDITILALI HATA UPISHI KUNA MAJIKO YA KIDIGITALI SAFI. TUPUNGUZIENI BEI YA UMEME. UMEME SI ANASA.