S suzyego Member Joined Mar 9, 2009 Posts 5 Reaction score 0 Dec 12, 2012 #41 yaan hawa watu wa tanesco walivyobusy kushusha ubora wa maisha ya mtanzania kutaka kuchukua kidogo anachopata na kwenda kulipia madeni yao ujinga(dowans) Jast imigine mafuta yanapanda bei umeme nao wanataka kupandisha juu tutafika kweli jamaa
yaan hawa watu wa tanesco walivyobusy kushusha ubora wa maisha ya mtanzania kutaka kuchukua kidogo anachopata na kwenda kulipia madeni yao ujinga(dowans) Jast imigine mafuta yanapanda bei umeme nao wanataka kupandisha juu tutafika kweli jamaa
Aza JF-Expert Member Joined Feb 23, 2010 Posts 1,700 Reaction score 230 Dec 12, 2012 #42 hii sasa ni zaidi ya umafia,kweli tumelala usingizi wa pono