Bei ya Umeme kupanda kwa asilimia 50 kuanzia January 2013

Bei ya Umeme kupanda kwa asilimia 50 kuanzia January 2013

yaan hawa watu wa tanesco walivyobusy kushusha ubora wa maisha ya mtanzania kutaka kuchukua kidogo anachopata na kwenda kulipia madeni yao ujinga(dowans)
Jast imigine mafuta yanapanda bei umeme nao wanataka kupandisha juu tutafika kweli jamaa
 
hii sasa ni zaidi ya umafia,kweli tumelala usingizi wa pono
 
Back
Top Bottom