Bei ya unga wa Sembe yapanda, Serikali iingilie kati

Tatizo wabongo tumezoea lawama. Serikali ilipopiga marufuku mahindi kuuzwa nje ya nchi watu walilalamika.
Sasa wameruhusiwa matokeo ndio haya.
Mi nazani ifike kipindi kila mwananchi walau awe na kashamba walau nusu heka.
Wakulima wanaonewa Sana! Gharama za kilimo Ni kubwa Sana na anazibeba mkulima mwenyewe, ikifikia kipindi cha mavuno wasiogharamia chochote wanampangia mkulima bei ya kuuza.
 
Dah..afadhali...na upande au uadimike au upotee kabisa...[emoji2960]
"ugali hufanya ubongo kuwa mzito" - utafiti
 
Kwa1 hiyo wote tunaisoma namba?
 

Uwazie kuuza nje ili wapate hasara?

Limeni nyinyi muuze bei rahisi.
 
Uwazie kuuza nje ili wapate hasara?

Limeni nyinyi muuze bei rahisi.
Arawaaa!... Soma kwa makini bandiko langu uone kama ulichoandika hapo juu kina tofauti na nilichoandika mimi, anzia mstari wa kwanza tu.... 😳 😳

Uwazie= Uwazuie .... nadhani una maana hiyo.
 
Acha kulialia, nenda kalime uone mziki wake... acheni wakulima wanufaike.
 
Kweli wewe huelewi!
Mimi nilidhani ni mtu mkubwa na cheo chake kwenye chama cha CCM kumbe ni mngangaa njaa tu. Hiyo ni pesa ndogo sana, tena napenda tununue unga wa sembe kilo moja 5,000 ili wakulima nao wafaidike. Kilimo ni kazi ngumu sana kwahiyo acha nao wapate faida.
"Ukiona mtu analia maisha magumu ujue alikuwa mpiga dili by CCM"
 
Pale Vijana wa Lumumba wanapochukua nafasi ya Dr abbas.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…