Bei ya ushuru wa verossa

imomo

Member
Joined
Apr 3, 2014
Posts
29
Reaction score
3
Nataka kujua bei za ushuru wa gari aina ya verossa...ya mwaka 2001..2000cc.. naombeni mnitajie gharama yake ya kuitoa bandarini...
 
From Experience Nilitoa 5.8m Kodi nikalipia Bank-M hiyo ilikuwa December 2013....same specification.
 
Samahani muanzisha uzi, nami nitumie uzi wako kuuliza swali fulani kuhusu gari aina ya Voltz. Kuna jamaa yangu ananisumbua sana kuwa anaipenda sana ila haifahamiki gharama halisi hadi iwe barabarani. Na je spea zake zipo? Ukiwa na 10m/- inatosha. Tafadhali mwenye uelewa anijuze, nitashukuru
 
ushuru wa sasa hivi ni balaa. gari zote zilizoingia after bajeti mpya zimeipata. nakushauri ujiandae vizuri maana tra na tancis yao hawasomeki.


toyota raum tu nimelipishwa 5.7 na hiyo ya 2003. so kwa haraka haraka tenga kama 6.5m au 7m hivi lolote linaweza tokea anytime.
 
Kaka hizo gari ni nzuri sana and they are very unique. 10mil ni ndogo manake zinakuwa na dumping fee, so weka kama 15mil in case. Kuhusu spares ni rahisi kwani 2ZZ and 1ZZ vvti engine, zinaingiliana na Toyota Opa hata na Premio new model. Mwambie jamaa yako achukue hiyo gari hatojuta.
 
MM ninayo gari mzuri tu.
ni RAV 4L 1996,nitakuuzia kwa 8 MILIONI.Ila utaifurahia tu, maana, bado ipo condition bomba, ipo Dar mbezi beach.
nitakukabidhi ufunguo wako siku hio hio,uende ukawauzie sura kitaani.

Ahsante.
 
hizo gari kiwanda hakitoi tena so spea usiangalie za engine tu bali angalia vitu kama taa ,show nk huwezi kuvipata kirahisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…