Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka hizo gari ni nzuri sana and they are very unique. 10mil ni ndogo manake zinakuwa na dumping fee, so weka kama 15mil in case. Kuhusu spares ni rahisi kwani 2ZZ and 1ZZ vvti engine, zinaingiliana na Toyota Opa hata na Premio new model. Mwambie jamaa yako achukue hiyo gari hatojuta.Samahani muanzisha uzi, nami nitumie uzi wako kuuliza swali fulani kuhusu gari aina ya Voltz. Kuna jamaa yangu ananisumbua sana kuwa anaipenda sana ila haifahamiki gharama halisi hadi iwe barabarani. Na je spea zake zipo? Ukiwa na 10m/- inatosha. Tafadhali mwenye uelewa anijuze, nitashukuru
hizo gari kiwanda hakitoi tena so spea usiangalie za engine tu bali angalia vitu kama taa ,show nk huwezi kuvipata kirahisiSamahani muanzisha uzi, nami nitumie uzi wako kuuliza swali fulani kuhusu gari aina ya Voltz. Kuna jamaa yangu ananisumbua sana kuwa anaipenda sana ila haifahamiki gharama halisi hadi iwe barabarani. Na je spea zake zipo? Ukiwa na 10m/- inatosha. Tafadhali mwenye uelewa anijuze, nitashukuru