Wadau naomba kufahamu bei ya viazi mviringo ya tarime, nataka nifahamu niiweke katika mpango wa kusafirisha kwenda mwanza, hivyo wenyeji wa tarime au wafanya biashara hiyo naomba wanisaidie
1.debe linauzwaje?
2.ktk gunia zinaingia debe ngapi?
3.usafiri wa gunia moja tsh ngapi?
4.debe lina makisio ya kg ngapi?
naomba msaada huu wadau.
asante