Papaa Gx
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 11,097
- 17,929
Naivasha
Wew uko mkoa gan?
Kigoma au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wew uko mkoa gan?
Kigoma au?
Acha uwongo labda za wizi, bei halisi kwa daressalam, cement ya dangote ni 13000, na ya kisarawe ni tsh 12000. nondo zile za kusukia lenta ni 20,000, wakati bei ya awali ilikua 16,500Mkuu upo mkoa gani? Dasalama huku cement ni 9,500 - 11,500 kutegemea na product name...
Nondo 14,500/=
Sikuhizi neno maradufu lina maana mpya eh?Nimesikitishwa sana na Bei vifaa vya Ujenzi Kupanda maradufu
Cement iliyokuwa Elfu 16,000 mwezi Jana Sasa ni 18,000/=
Nondo iliyokuwa 13,000/= sasa ni 17,000/=
Bati iliyokuwa 16,000/=sasa ni 20,000/=
Mtaani kwako vifaa vya ujenzi vinagharama gani hebu tujuzane wana forum wenzangu.
Wafanyabiashara wanasema,wanadhani wiki Kesho itaongezeka tena.
Mimi nimenunua cement 12,000Acha uwongo labda za wizi, bei halisi kwa daressalam, cement ya dangote ni 13000, na ya kisarawe ni tsh 12000. nondo zile za kusukia lenta ni 20,000, wakati bei ya awali ilikua 16,500
Wapi huko?Siyo kweli mkuu, tembelea website yangu na ununu bidhaa za ujenzi kwa bei rahisi
Hii hapa.
https://builders.co.tz/product/twiga-cement-plus/
CCM mpya #Na badoNimesikitishwa sana na Bei vifaa vya Ujenzi Kupanda maradufu
Cement iliyokuwa Elfu 16,000 mwezi Jana Sasa ni 18,000/=
Nondo iliyokuwa 13,000/= sasa ni 17,000/=
Bati iliyokuwa 16,000/=sasa ni 20,000/=
Mtaani kwako vifaa vya ujenzi vinagharama gani hebu tujuzane wana forum wenzangu.
Wafanyabiashara wanasema,wanadhani wiki Kesho itaongezeka tena.
Kigamboni ipi mkuu? Maana Mimi pia nimefanya manunuzi kigamboni hiyo, nimesaka sehemu angalau kuanzia 18,500 Kwa nondo ya T12 nimekosa , vijibweni, Mwembe mdogo,mji mwema kote nimefika, bei ni elfu 20,Mimi nimenunua cement 12,000
Nondo 17,500
Kigamboni
KisiwaniKigamboni ipi mkuu? Maana Mimi pia nimefanya manunuzi kigamboni hiyo, nimesaka sehemu angalau kuanzia 18,500 Kwa nondo ya T12 nimekosa , vijibweni, Mwembe mdogo,mji mwema kote nimefika, bei ni elfu 20,
Niambie aisee
Wapi huko?
Nimempigia jamaa alieniuzia,hana cement wiki sasa! Kuna uhaba mkubwa.Kigamboni ipi mkuu? Maana Mimi pia nimefanya manunuzi kigamboni hiyo, nimesaka sehemu angalau kuanzia 18,500 Kwa nondo ya T12 nimekosa , vijibweni, Mwembe mdogo,mji mwema kote nimefika, bei ni elfu 20,
Niambie aisee
Mkuu hizi bei ni za Dar sehemu gani?Mkuu upo mkoa gani? Dasalama huku cement ni 9,500 - 11,500 kutegemea na product name...
Nondo 14,500/=
Kinyerezi kuna duka la jumla uuza hizo bei.... nitapita kesho nione bei ya sasa kwa uhakika zaidoMkuu hizi bei ni za Dar sehemu gani?
Nisaidie maana nina uhitaji wa nondo,bati
na simenti.Nami nipo dar,hii bei itanifaa sana.
Tarakimu ndo zilivyo kiuhalisia au ni macho yangu yanaona sivyo. Kilo moja ya misumari 110,000hata misumari ya bati imepanda toka 65k kwa kilo mpka 110k...hali sio nzuri kabisa!!
Mkuu leo nmetembelea maduka mawili matatu ni kweli bei zimepaa ajabu...Mkuu hizi bei ni za Dar sehemu gani?
Nisaidie maana nina uhitaji wa nondo,bati
na simenti.Nami nipo dar,hii bei itanifaa sana.
Mkuu umeishapita hapo dukaniKinyerezi kuna duka la jumla uuza hizo bei.... nitapita kesho nione bei ya sasa kwa uhakika zaido