Bei ya Vifurushi itamuondoa mtu next week..

www.freebasic.com
Hapo utapata
1.Jamii forum
2.BBC swahili
3.BBC world news
4. Wikipedia
Na vingine vingi for free (Totally free) kupitia Halotel.
Hapo nitakuwa naunga bando kwa issue maalum tu.

Ila pole kwa wanaotegemea internet kuingiza kipato.
Kwenye simu au desktop nieleweshe
 
Kigamboni oyeeeeeeeeeee ,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mmetuletea mbuge safi sana ......Au naongea uongo ndugu zangu.
 
Ndungulile ana mamlaka ya kusema simamisha hiyo kitu kwànza tupate ufumbuzi wa malalamiko haya. Kutofanya hivyo, atumbuliwe Jumanne
 
Mtoa mada kama nimekulewa hv,yaan wanatengeneza tatizo ili baadae aje mkuu wa nchi abadilishe yaan awe upande waWANYONGE.Ili tumpe HEKO.
Hawa mkuu tangu zamani hii mipango ilikuwepo km mtu alikua anawaza kutoza whatsapp call unashangaa bundle kupanda ......kigamboni oyeeeee...
 
Ndugulile anaweza kushangaa anapishana na Paul makonda , akabaki na ubunge wake na Makonda akabaki na uwaziri..
 
Kwa nchi kama Tanzania ambako more than 89% ya wananchi wake hawajui hata kushika mouse ya computer wala hawaelewi hata vitu vidogo vidogo kama RAM na ROM ilitakiwa bei ya 1GB iwe 250 ili kuangalia uwezekano wa kupunguza computer illiterates
Kabisa mkuu
 
I miss magufuli
 
Competition kwenye Biashara inaweza kuwana factors kuu kama sita hivi ILA kubwa na sensitive kuliko vyote ni Price (bei/gharama))
sasa unapoingilia bei ya bidhaa inayotumiwa na watu wengi hasa vijana wa karne hii, inahitaji kuangalia kwa undani
kwani inaweza isiwe na mapokeo mazuri kwenye soko.........
 
www.freebasic.com
Hapo utapata
1.Jamii forum
2.BBC swahili
3.BBC world news
4. Wikipedia
Na vingine vingi for free (Totally free) kupitia Halotel.
Hapo nitakuwa naunga bando kwa issue maalum tu.

Ila pole kwa wanaotegemea internet kuingiza kipato.
Freebasics jf kwa halotel haipo labda voda
 
asenteeee... ungegusia na tweeter yetu irudishweeee tuachane na ma VPN tuwe taifa huru kimawasiliano
 
Kwani wakati ndungulile anatangaza alikuwa kaishakufa?
 
www.freebasic.com
Hapo utapata
1.Jamii forum
2.BBC swahili
3.BBC world news
4. Wikipedia
Na vingine vingi for free (Totally free) kupitia Halotel.
Hapo nitakuwa naunga bando kwa issue maalum tu.

Ila pole kwa wanaotegemea internet kuingiza kipato.
Mkuu mbona sioni jamii forum?
 
Hao mnawalaumu bure tu na hawawezi kufukuzwa kwani serikali ndio imeowaongezea kodi wao wafanye nini??ndio maana huwezi sikia tamko la serikali kwenye hili kwani wanajua walichokifanya, na meko siku zote aliona mitandao ni adui wake!!cha kufanya labda serikali iondoe kimya kimya hizo kodi ilizoongeza ndio wa wawapige mkwala kushusha.lakini hilo ni gumu kufanyika.
 
Unampa sifa za kijinga , vifurushi vilikua vinapanda bei na alikua yupo madarakani.
 
Wazo zuri Sana Tatizo baadhi ya Watanzania Ni wasaliti.🤗

Mkuu tumalizie vifurushi vyetu hakuna haja ya kuandamana renew.

Sisi tunatosha sana kuwatia adabu majahiri hawa!
 
Haya sasa wamesitisha vifurushi vya data, huu uzi umewastua baadhi ya maboss huko TCRA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…