Bei ya Vifurushi itamuondoa mtu next week..


Eng. James Kilaba ajitafakari sana maana bado anatekeleza maelekezo ya Mzee MEKO.
 
Tcra ya kuvunja yote wale wazee wa miaka ya 70's watoke kizazi kipya kichukue hatam..
 
Hapo ndio tunamiss mzee yaani jiwe likitupwa SAA 5 asubuhi SAA 7mchana tushapata kelele mzee kwa hili kwakweli tutamkumbuka sana...huyu ndunguruuru labda walimkatia mshiko sio bure huwezi kukubali kitu cha kukandamiza wananchi kirahisi rahisi hivyo..
 
Wewe unadhani ni maamuzi ya hayo makampuni ndio yameamua hivyo?,Serikali yako kandamizi tena ya huyo marehemu unayemsifia sifia,lengo Lao mpunguze kuwakosoa mitandaoni,kodi ikiongezwa siku zote mtumiaji wa mwisho ndio anayeumia idiot..

Facts 100%
 
Hakuna lolote, ikumbukwe tangazo la mabadikiko ya virushi lilikuwa ni agizo la waziri mwenye dhamana, maanayake alipewa maagizo toka juu, na sababu kubwa nikuona watu hawatunii Social media, hilo lipo wazi, kitu ambacho mama hawezi kukubali ukandamizahi wa hivi maana hakuwa moja wa maamzi ya ukandamizaji huu, na sababu aliyosemwa na waziri ni kwamba, watu wanatumia WhatsApp kupigasimu njee ya nchi, hali inayoikosesha serikali mapato ndipo wakaja na mbadala kapunguza vifurushi. Na tunashukuru kwakuwa serikari ya sasa ni ya wanchi na nisikivu ufumbuzi wa hili utapatikana haraka, mama hoyee.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Magu angekuwepo ungesikia mpk saiv hao ma Director wa haya makampuni wapo central kwa mahojiano.

Jamaa alikua hataki mbwembwe

kudhibiti mitandao ya kijamii ni suala ambalo lilikuwa linamuumiza kichwa sana jpm kwasababu huku ndio ilikuwa platform pekee ambayo raia walikuwa wanampiga spana za kutosha, kumbuka jamaa alikuwa hapendi kupigwa spana.

kwa maana hiyo uamuzi huu wa kuongeza gharama katika vifurushi ungempa relief kubwa sana. nina hakika asingefanya chochote, sanasana angeipongeza wizara na tcra kwa idea hii.
 
mama yupo very active na mitandao ya kijamii hususani twitter.

hii iwe ni wake-up call kwa viongozi wote wasiopenda kukosolewa na wenye mentality ya kijinga ya kudhani kwamba mitandao ya kijamii ni adui wa maendeleo.
 

Hakuna lolote haya mambo yalianzishwa na Ngosha mwenyewe ili waendelee kutupiga....

Yale yale wanachukua mkopo kisirisiri halaf wanaimba na kujimwambafy eti hela za ndani kwa miradi mikubwa..
Mazuzu tunashangilia....
 
Hili zoezi zima limeratibiwa na marehemu shujaa wa afrika.
 
www.freebasic.com
Hapo utapata
1.Jamii forum
2.BBC swahili
3.BBC world news
4. Wikipedia
Na vingine vingi for free (Totally free) kupitia Halotel.
Hapo nitakuwa naunga bando kwa issue maalum tu.

Ila pole kwa wanaotegemea internet kuingiza kipato.
Freebasic inasevu sana wakati mwngine inapita mwezi sijaweka bando la Internet lakini bado napata updates muhimu
 
Makampuni Naona yanamchukulia Poa mama yani...!! TCRA wamesema warudishe vifurushi vya zamani mpaka sasa kimyaaa... hizi ni dharau

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…