Bei ya Vifurushi itamuondoa mtu next week..

Muongozo wa hivyo vifurushi uliwekwa jiwe akiwepo.Hiyo ni mojawapo ya legacy zake mbaya.
Hayupo sasa watu mu enjoy sasa. Kelele hazitakiwi tena saiv
 
Wale wana hela sana,,hata wafukuzwe,kianzio cha maisha wanacho
 
Mnamuonea kindugulile bure tuu. Yeye hana mamlaka ya kupandisha wala kushusha.
Lawama zote zinamuangukia Ndugu Lile. Yeye ndiye alisema Bei itapungua kumbe huku alikua na mpango ovu wa kujipendekeza kwa watu Fulani Fulani. Sasa Ndugulile Ali over do. Yaani badala ya kushusha Bei kifurushi Cha ulichokua unapata kwa alfu Sasa unapata kwa alfu nne. Nduguli is responsible for this mess.
Ingekua nchi nyingine angejiuzulu. Wakiendelea kumuacha pale atawavua nguo mchana kweupe.
 
hawajafikiria kabisa kuhusu watu wanaotumia internet kuendeshea maisha yao a. K. A wamachinga wa mitandaoni, wanafunzi wanajisomea kupitia mitandaoni na umuhimu wa internet wakati huu wa corona 💡
 
Jumanne kuapishwa waziri mwengine, aliyepo amepwaya sana, na hili amelipwa fedha na haya makampuni, ili kukomoa wananchi hasa wana -CCM wanaoshinda mtandaoni kuitetea serikali dhidi ya mabeberu.
Tangu juΩi usiku ma-injinia wa mitandao ya simu wanahangaika kurudisha bando kama zamani, ila siri ambayo nawavujishia ni kwamba KUMUM-GANG wapo kazini kumhujumu SAmia suluhu Hassa, na wameshindwa, linaongozwa na yule aluyepewa ubunge viti maalum
 
Nimepita sehemu ,kulikuwa na jamaa wanasema kuwa makampuni ya simu yanafidia hasara iliyosababishwa na kufunga mitandao ya kijamii wakati wa uchaguzi(uchafuzi)ulio pita.
 
Nch hii kwakweli da watu wako bize navifurushi nendeni muone mfumuko wavifaa vya ujenzi mm nadhani tuongelee kwaujumla mfumuko wabei
 
Haya sasa Katibu mkuu TCRA ameshaliwa kivlchwa huko , nilitabiri kuna mtu itakuwa pasaka yake ya mwisho kama Boss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…