Ohooooo!!!Mada kama hizi watu hawachangiagi wanapenda zaidi ubuyu
Prof ndumilakuwiliOhooooo!!!
mkuu unajua chochote kuhusu bei ya vitunguu kwa sasa? kwa guania au kilo...Mada kama hizi watu hawachangiagi wanapenda zaidi ubuyu
Mkuu usijali ntaulizia bei ya vitunguu maeneo ya ruaha mbuyuni na lumuma kilosa then ntakupa bei zao za sasamkuu unajua chochote kuhusu bei ya vitunguu kwa sasa? kwa guania au kilo...
Daaa tangu 2015 ndo imechangiwa leo khaahii mada watu waliipita tu?
now after miaka miwili nami nauliza bei ipoje? wataalam please majibu....
Si mlimkaushia madame wa watuDaaa tangu 2015 ndo imechangiwa leo khaa