Bei ya vitunguu maji

Bei ya vitunguu maji

Madame M

New Member
Joined
Jan 17, 2015
Posts
2
Reaction score
1
Salamu wakuu,naomba kufahamishwa bei ya gunia la vitunguu kwa sasa shambani na sokoni (K'koo).Ahsanteni sana
 
hii mada watu waliipita tu?

now after miaka miwili nami nauliza bei ipoje? wataalam please majibu....
 
Mada kama hizi watu hawachangiagi wanapenda zaidi ubuyu
 
mkuu unajua chochote kuhusu bei ya vitunguu kwa sasa? kwa guania au kilo...
Mkuu usijali ntaulizia bei ya vitunguu maeneo ya ruaha mbuyuni na lumuma kilosa then ntakupa bei zao za sasa
 
Zenjiberi vitunguu 2500 per kilo. Hoho kijani 8000 per kilo hoho za manjano na nyekundu 15 000per kilo carot 2000 per kilo
 
Back
Top Bottom