Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Tz.
Naomba kuuliza et bei ya zile herufi zinazowaka zipoje? Ni zile herufi watu wanatumia kuandika majina ya biashara zao kwenye frames.
Inategemea unataka yenye maandishi yenye ukubwa gani, mita ngapi? Quality na size ya bulb n.kWakuu nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Tz.
Naomba kuuliza et bei ya zile herufi zinazowaka zipoje? Ni zile herufi watu wanatumia kuandika majina ya biashara zao kwenye frames.