Bei ya zile herufi zinazowaka usiku ipoje?

Beberu

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2017
Posts
4,548
Reaction score
9,740
Wakuu nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Tz.

Naomba kuuliza et bei ya zile herufi zinazowaka zipoje? Ni zile herufi watu wanatumia kuandika majina ya biashara zao kwenye frames.
 
Kama laki sita hivi na kuendelea
 
Unaulizia bei kama vile ni unaulizia kitu flani cha mia.
Hizo ni kazi za watu na lazima mfuko wako ucheze kidogo.
 
Wakuu nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Tz.

Naomba kuuliza et bei ya zile herufi zinazowaka zipoje? Ni zile herufi watu wanatumia kuandika majina ya biashara zao kwenye frames.
Inategemea unataka yenye maandishi yenye ukubwa gani, mita ngapi? Quality na size ya bulb n.k

Kuna watu wanashughulikia na hilo suala kama sehemu ya ajira zao

Lakini uwe na at least kuanzia laki 4 au zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…