Bei za bidhaa Afrika Mashariki; Tanzania tunakamuliwa na Serikali

Bei za bidhaa Afrika Mashariki; Tanzania tunakamuliwa na Serikali

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
12,706
Reaction score
52,355
Cement 50kg
Dar 15000
Nairobi 10000
Kampala 11000
Kigali 11000
Bujumbula 12000

Sukari 1kg
Dar 2800
Nairobi 1600
Kampala 1500
Kigali 1500
Bujumbula 1800

Petrol 1 litre
Dar 2400
Nairobi 1800
Kampala 1900
Kigali 1850
Bujumbula 2050

Bei ya umeme kwa unit
Tanzania 290
Kenya 185
Uganda 140
Rwanda 180
Burundi 220

Nchi yetu tunakwama wapi mbona Mimi sielewi nimefanya research kwa kutumia watu waliopi maeneo husika na wamenitumia bei za hivi vitu kama nilivyoonyesha hapo juu baada ya kuexchange kwenye pesa ya hapa kwetu Tanzania.
 
Cement 50kg
Dar 15000
Nairobi 10000
Kampala 11000...
Shida ni CCM kujibadili kutoka kuwa chama cha wakulima na wafanyakazi na kugeuka kuwa chama cha Wafanya! Hii ndio sababu hata ukisikia serikali inaagiza bei za bidhaa zishushwe au riba za mabenki zishushwe lakini hutauona utekelezaji na wala unaweza usimsikie mbunge hata mmoja akihoji, yote hiyo sababu kubwa ni kuwa wenye hizo biashara ni wao wenyewe!
 
Cement 50kg
Dar 15000
Nairobi 10000
Kampala 11000....

Screenshot_20210708_110517.jpg
 
Hawa wabunge wetu shida sana. Haya ya jirani zetu kuwa na unafuu wa vitu wabunge wangetakiwa wasikubali budget kupita mpaka wapunguze kodi.

Kuna uzi unaoonyesha kodi zinazotozwa kwenye lita moja ya mafuta nikajiuliza kweli watanzania tumelogwa. Kuna nchi ambazo haya yasingewezekana kabisa. lita moja ya petrol pale bandarini ni sh1162 na mpaka kufika kwa mteja ni sh 2405.

Kuna mlolongo wa kodi kama 20 hivi. Hivi kweli hata serikali haina huruma na watu wake ikatoa baadhi ya kodi maana zingine zimekaa kiulaji zaidi.
 
Cement 50kg
Dar 15000
Nairobi 10000
Kampala 11000
Kigali 11000
Bujumbula 12000

Sukari 1kg
Dar 2800
Nairobi 1600
Kampala 1500
Kigali 1500
Bujumbula 1800

Petrol 1 litre
Dar 2400
Nairobi 1800
Kampala 1900
Kigali 1850
Bujumbula 2050

Bei ya umeme kwa unit
Tanzania 290
Kenya 185
Uganda 140
Rwanda 180
Burundi 220

Nchi yetu tunakwama wapi mbona Mimi sielewi nimefanya research kwa kutumia watu waliopi maeneo husika na wamenitumia bei za hivi vitu kama nilivyoonyesha hapo juu baada ya kuexchange kwenye pesa ya hapa kwetu Tanzania.
Nilipoona tu bei za Kenya umeweka chini ya Tz nikajua ni propaganda tu.
 
Ni uhuni. Na hapo kwenye umeme ni tatizo kubwa. Hamna mtu ataleta kiwanda kwa bei hizo za umeme. Lazima tuwe na bei shindani.
 
Back
Top Bottom