Bei za bidhaa Afrika Mashariki; Tanzania tunakamuliwa na Serikali

Bei za bidhaa Afrika Mashariki; Tanzania tunakamuliwa na Serikali

Cement 50kg
Dar 15000
Nairobi 10000
Kampala 11000
Kigali 11000
Bujumbula 12000

Sukari 1kg
Dar 2800
Nairobi 1600
Kampala 1500
Kigali 1500
Bujumbula 1800

Petrol 1 litre
Dar 2400
Nairobi 1800
Kampala 1900
Kigali 1850
Bujumbula 2050

Bei ya umeme kwa unit
Tanzania 290
Kenya 185
Uganda 140
Rwanda 180
Burundi 220

Nchi yetu tunakwama wapi mbona Mimi sielewi nimefanya research kwa kutumia watu waliopi maeneo husika na wamenitumia bei za hivi vitu kama nilivyoonyesha hapo juu baada ya kuexchange kwenye pesa ya hapa kwetu Tanzania.
Nadhani kabla ya kuja na hoja,Kwanza inabidi uwe na takwimu sahihi.
 
Cement 50kg
Dar 15000
Nairobi 10000
Kampala 11000
Kigali 11000
Bujumbula 12000

Sukari 1kg
Dar 2800
Nairobi 1600
Kampala 1500
Kigali 1500
Bujumbula 1800

Petrol 1 litre
Dar 2400
Nairobi 1800
Kampala 1900
Kigali 1850
Bujumbula 2050

Bei ya umeme kwa unit
Tanzania 290
Kenya 185
Uganda 140
Rwanda 180
Burundi 220

Nchi yetu tunakwama wapi mbona Mimi sielewi nimefanya research kwa kutumia watu waliopi maeneo husika na wamenitumia bei za hivi vitu kama nilivyoonyesha hapo juu baada ya kuexchange kwenye pesa ya hapa kwetu Tanzania.
Mrithi karithi viatu size 48, kwa kawaida huyu alipaswa kuwa typist wa ofsi flani, Mungu asipoingilia kati km alivyofanya trh 17 march 2021! Kufika 2030 tutakuwa sehemu mby sana
 
Back
Top Bottom