technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
ppp kwa tzs kwa eac.goodCement 50kg
Dar 15000
Nairobi 10000...
Tulieni, lile sanamu likikamilika gharama zitashuka Sana.
Shida ni CCM kujibadili kutoka kuwa chama cha wakulima na wafanyakazi na kugeuka kuwa chama cha Wafanya! Hii ndio sababu hata ukisikia serikali inaagiza bei za bidhaa zishushwe au riba za mabenki zishushwe lakini hutauona utekelezaji na wala unaweza usimsikie mbunge hata mmoja akihoji, yote hiyo sababu kubwa ni kuwa wenye hizo biashara ni wao wenyewe!Cement 50kg
Dar 15000
Nairobi 10000
Kampala 11000...

Kampala 11000....
Tutaisoma nambaa
Nilipoona tu bei za Kenya umeweka chini ya Tz nikajua ni propaganda tu.Cement 50kg
Dar 15000
Nairobi 10000
Kampala 11000
Kigali 11000
Bujumbula 12000
Sukari 1kg
Dar 2800
Nairobi 1600
Kampala 1500
Kigali 1500
Bujumbula 1800
Petrol 1 litre
Dar 2400
Nairobi 1800
Kampala 1900
Kigali 1850
Bujumbula 2050
Bei ya umeme kwa unit
Tanzania 290
Kenya 185
Uganda 140
Rwanda 180
Burundi 220
Nchi yetu tunakwama wapi mbona Mimi sielewi nimefanya research kwa kutumia watu waliopi maeneo husika na wamenitumia bei za hivi vitu kama nilivyoonyesha hapo juu baada ya kuexchange kwenye pesa ya hapa kwetu Tanzania.
Hii ndo ukweli na uhalisia uliopo. Na ndo Mana wanasiasa wanaishi maisha kama wapo peponi na ilhali mtoto wa anayewafanya waishi hayo maisha anakalia jiwe darasani, akisoma akifika juu mkopo shida ili asipate elimu akajitambua.Inawezekana Cha juu kinaingia kwenye mifuko ya wachache
Hizo bei ni kabla ya buget mpya