Bei za bidhaa Afrika Mashariki; Tanzania tunakamuliwa na Serikali

Kwenye Cement Rwanda umetudanganya, wao huinunua kwetu kwa 12000 kabla hawajasafirisha iweje wauziwe 11000?
 
Serikali ineshindwa ku come up na new sources Of income, kina Mwingulu wapo wanazidi kuongeza rates kwa vyanzo vipya vya mapato vilivyokuwepo miaka 30 iliyopita.
 
Ukianza kuzungumzia mambo yanayowagusa wananchi moja kwa moja wakakuelewa itakuwa kazi rahisi kuwaelewesha wananchi juu ya umuhimu wa kuwa na katiba mpya lakini wakizungumzia katiba mpya bila kuzungumzia mambo haya ni kazi bure.
 
Inasikitisha na kuhuzunisha. Halafu MAMA mwenyewe ndiyo huyu anayewateua watu aina ya mwigulu Nchemba!

Watu wapo kimaslahi muda wote, ndiyo watuletee tija kwenye uchumi wa nchi kweli!!!
Huyu waziri tuliyenaye wa fedha ambaye alikuwa anajisifia kuwa alipata first class ndiye waziri bogus ambaye hajawahi kutokea. Ambaye anateua kina Hamisa Mobeto kutumia kodi zetu ovyo kwa kisingizio cha kuelimisha walipa kodi.
 
Tunataka pesa ya kujengea sanamu na kaburi kule chato
 

Nchi inakwama (1) Viongozi tulionao hawana woga wakufikir kuna mwananchi yoyote anaweza kupinga kitu ambacho wao wamekiunda wanavyojua wao sasa akatokea mpuuzi yoyote akabatilisha

(2)Raia wenyew ni waoga hatuna uthubutu wa kuandamana tunaogopa tutapigwa mabom ya machoz.
ukionekana kimbele mbele kuhamasisha sana siku mkapanga lamda watu watoke mitaan upaze sauti utajikuta upo pekeako weng wamefyata.

Halikazalika pia kwa wanao jiita wanaharakat ndio kabisaa tunaishia hiv kuandika mfano kama makala,siku ukifatwa ktk pange yako ukapigwa mkwara ndio bas tena huendelezi kusema kwa kutoka hadharani bali utaanza kuandika kwa kuisifia serikali

**Ni tanzania pekee ukiona jambo flani linapigwa promo sanaa ndio hapo watu au viongoz wanapofisadia.
Wanadanganyia mtu anakula na kwake ila sio kihivyo,
Siku ukija shtuka mamillion meng ya pesa yamepotea ndio nchi yetu namna inavyokwenda nikila kipnd cha mambo ni hivyo hivyo.

Kupanda kwa bidhaa sio maendeleo.

(3)Watanzania hatujawahi kumwaga damu sababu ya haki,kifupi tu viongoz wasiokua waadilif katk majukum yao kama viongoz hawawez tekeleza haki hiyo kwani wananch tunaonekana wakawaida tu tukilialia awamu hii bas awamu nyingine tufarijiwa hata kwa kofia na vitenge,vijana kupewa mipira na jezi sabuni miswaki,kufadhiliwa ktk jogging kupewa chupa za maji na kupikiwa uji .
Unafkir utajibuaje kwa mfano

(4) Ujinga umetutawala sana wanaojitambua hawaonekani ,na wakionekana na kusema basi ni magaidi au waasi kwaiyo ktk yoote tuweni tu wapole mpaka hapo mungu atakapo amua kwa mapenzi yake

****Nchi zilizo endelea zote duniani turudin ktk historia zao,wananchi wake hawataki ujinga ujinga mkate tu ukipanda bei watu wanahoji .
Waziri au raisi anajitokeza kufafanua hadharni na maamuzi sahiyo hiyo yanafanyika unafkiri tanzania inawezekana!?

“Ashawalle niyye apatire” wazigua wanamsemo wao wa hivyo yani “mwenye kua mvumiliv ndie aliepata”

Tuweni wapole
 
Umemaliza kila kitu umechukua point zote 3. 👏🏼
 
Nafikiri kwetu hapa (Tz) kuna ubinafsi,uchoyo na roho mbaya kwa baadhi ya viongozi.
Kwa maana wengi wao wanahisi hawaathiriki na bei kuwa juu kwa sababu wana kipato cha kutosha.

#BADILIKENI MNATUFYONZA KUPITA KIASI.
 
Last week nimechukua cement kwa 13,000 per 50kg(42.5) camel
 
Huu ndio uhalisia, ukweli mchungu
 
Umeenda mbali zanzibar tu hapo vitu bei chee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…