Hi biashara ina mlolongo mrefu sana,1.kuna wale vijana wanaookota barabarani wanauza sh.200-250 kwa kilo. Yuleanaye nunuwa kwa hao vijana yeye huuza sh.450 kwa wachina. ukitakakuifaidi hiyo biashara itakbidi ununuwe mashine yakuzisaga,inauzwa sh. 10,000,000-15,000,000 zikisagwa unapeleka kwa wachina kwa sh.650-700. inalipa kama unamashine, usisahau msimu wa mvua inakuwa mbaya sana unaweza kuiacha kabisa jaribu kutafakari kwanza usije poteza pesa.