Bei za chupa kiwandani sh ngapi?

Bei za chupa kiwandani sh ngapi?

yumi

Member
Joined
Mar 24, 2014
Posts
9
Reaction score
1
Habari, bei ya chupa au makopo yanayookotwa barabara kwa viwandani wananunuaga kilo sh/= ngapi?

Viwanda gani zinanunuaga?
 
Hi biashara ina mlolongo mrefu sana,1.kuna wale vijana wanaookota barabarani wanauza sh.200-250 kwa kilo. Yuleanaye nunuwa kwa hao vijana yeye huuza sh.450 kwa wachina. ukitakakuifaidi hiyo biashara itakbidi ununuwe mashine yakuzisaga,inauzwa sh. 10,000,000-15,000,000 zikisagwa unapeleka kwa wachina kwa sh.650-700. inalipa kama unamashine, usisahau msimu wa mvua inakuwa mbaya sana unaweza kuiacha kabisa jaribu kutafakari kwanza usije poteza pesa.
 
Asathe.hao wachina wanapatikana wapi kwa dar?hiyo machine ni bei sn.kwnn biashara hiyo inakuwa ngumu kipindi cha mvua?
 
Back
Top Bottom