M Mamy223 Member Joined Oct 26, 2018 Posts 6 Reaction score 0 Jun 16, 2021 #1 Habari zenu, Naomba kujua bei za fremu Morogoro Mjini mitaa ya karibu na soko kuu. asante
Mr.genius JF-Expert Member Joined Feb 20, 2012 Posts 1,374 Reaction score 1,201 Jun 16, 2021 #2 Kwa hapo mjini kati sijajua, but maeneo ya huku pembezoni elf 30 unapata.
OMOYOGWANE JF-Expert Member Joined Dec 30, 2016 Posts 4,701 Reaction score 11,920 Jun 16, 2021 #3 Hapo town fremu zinaanzia laki na nusu na nakuendelea, utapangishwa kwa masharti ya kulipa kodi mwaka mzima au miezi isiyopungua 6, Kodi utakayolipa kwa mwaka asilimia kumi (ya pembeni utatakiwa kulipa TRA
Hapo town fremu zinaanzia laki na nusu na nakuendelea, utapangishwa kwa masharti ya kulipa kodi mwaka mzima au miezi isiyopungua 6, Kodi utakayolipa kwa mwaka asilimia kumi (ya pembeni utatakiwa kulipa TRA