Bei za kufulia nguo jijini Dar es Salaam

Bei za kufulia nguo jijini Dar es Salaam

Afu ye anapata nini kutoka kwako?
Sasa anagegedwa na familia yake unazan anaitunza nan na majukumu ya kulea familia nan kama sio mm nimemnunulia mpaka usafiri apeleke watot wetu shule uoni alichopata yey yupo kwa maslahi ya familia sio maslai yake
 
BEI INATEGEMEA UNA NGUO KIASI GANI ILA KAMA UNALETA MFANO NGUO MOJA UTAFANYIWA REJA REJA

1.SHATI/FULANA 500
2.SHUKA 1000
3.BRANKET 2000 HADI 2500
4.SURUALI 700

ILA NGUO UKILETA NYINGI KUNA PUNGUZO UNAPATA
Hii iko wapi nilete zangu! Watu wanasahau kuna nguo hazifuliwi kwa mikono.
 
Back
Top Bottom