Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,581
Hapo ndio atafilisika kabisa,
Nani kakwambia Kilimo kinalipa hapo jamaa yangu umemtupa kaburii kabisa.
hebu msaidie aje huku Dodoma kuna Mabasi ya kina Shukrani, Champion Shabibya au hata Mshikamano
cha kufanya kwa hizo 370m anunue mabasi 2 aweke Injini 2 mpya naye ajulikane mpingauonevu BUS SERVICE
Hizo 370mil umezipataje? Sidhani mtu mwenye uwezo wa kupata mil 370 ashindwe kujua bei za yutong au Scania Marcopolo...Biashara ya magari kichaa
Bei 180m seat 54. FAW
Wazee ninakapesa fulani Mungu amenipatia lakini nataka kuwekeza kwenye biashara ya basi za abiria. Hivyo wapendwa wangu naomba ushauri
1. Bei za marcopolo ni TSHS ngapi? na bei ya YOUTONG ni kiasi gani?
2. Je ni basi gani ni imara ili nisiingie hasara likafa haraka?
3. Kama ni body za kuchonga bei zake zinaendaje na kampuni gani nzuri?
kwa wenye uzoefu je biashara ya mabasi inalipa?
mtaji wangu ni Milion 370. je inaweza nipatia mabasi mawili? maono yangu ni nilitaka kujaribu njia ya DAR -Arusha
Bei 180m seat 54. FAW
Hiyo basi mkono wa pili
au Malva wako vizuri pia.
Hawa Master Fabricators nawakubali sana. Jamaa ni hodari sana katika kutengeneza bodi za mabasi. Wana ubunifu wa hali ya juu sana. Wengine wanaojitahidi Kenya ni Choda Fabricators na Malva. Tanzania kuna Dar Coach Builders ambao wanakuja juu kwa kasi sana.
Kwa kifupi hakuna kampuni itakayo acha tumia mabasi ya kichina, yatakufa tuu.
Dar express ndo anakomaa kisa alikuwa wakala wa scania.
Nakumbuka ilikuwa nadhani ni kidia one from moshi to dar, it consumes about 50litres sijajua kwa scania