Bei za mabasi

Bei za mabasi

Hapo ndio atafilisika kabisa,
Nani kakwambia Kilimo kinalipa hapo jamaa yangu umemtupa kaburii kabisa.
hebu msaidie aje huku Dodoma kuna Mabasi ya kina Shukrani, Champion Shabibya au hata Mshikamano
cha kufanya kwa hizo 370m anunue mabasi 2 aweke Injini 2 mpya naye ajulikane mpingauonevu BUS SERVICE

au SUPER KUMBA NA SUPERBARAKA
 
Last edited by a moderator:
Bei 180m seat 54. FAW
 

Attachments

  • 1421768774326.jpg
    1421768774326.jpg
    61 KB · Views: 748
  • 1421768811324.jpg
    1421768811324.jpg
    95.3 KB · Views: 646
  • 1421768834606.jpg
    1421768834606.jpg
    59.2 KB · Views: 657
Kuna rafik yangu alinunua bus moja sababu ndio mtaji wake ulipofikia,safari ya kwanza tu bus lilipata ajali,insurance wanamzungusha hadi leo
 
Wazee ninakapesa fulani Mungu amenipatia lakini nataka kuwekeza kwenye biashara ya basi za abiria. Hivyo wapendwa wangu naomba ushauri
1. Bei za marcopolo ni TSHS ngapi? na bei ya YOUTONG ni kiasi gani?
2. Je ni basi gani ni imara ili nisiingie hasara likafa haraka?
3. Kama ni body za kuchonga bei zake zinaendaje na kampuni gani nzuri?
kwa wenye uzoefu je biashara ya mabasi inalipa?
mtaji wangu ni Milion 370. je inaweza nipatia mabasi mawili? maono yangu ni nilitaka kujaribu njia ya DAR -Arusha

kwa uzoefu wangu, basi zilizonzuri ni SCANIA, ingawa ni gharama sana.

scania moja si chini ya MIL 800 kaka, wakati mil 800 hizo unaweza pata Yotong 4,

kuhusu mabod ya kutengeneza check na BENBROS hawa jamaa wako vizuri sana kwenye mabod

Pia kama ulivyoshauriwa yotong hurudisha fedha haraka ingawa huchakaa mapema sana ukilinganisha na scania

hebu angalia magari ya SAIBABA, SCANDINAVIA ...hawa walikuwa wanatumia scania, na magali yao yalitumika muda mrefu

pia biashara ya mabasi bana usiwe na gari moja, utakufa pressa kaka, at least mawili au matatu, vinginevyo utanunua gari utakuwa umejinunulia ugonjwa bureeee!!

nakushari tafuta gari ndogo pia, MINBUS sio lazima zipige route kama daladala unaweza kutafuta kibali cha kwenda masafa marefu, au kuna magari aina ya fuso luxury sana utapata hata kwa mil 150-180. kisha unalipeleka dar tanga, au dar moro au dar iringa
 
Kwa kifupi hakuna kampuni itakayo acha tumia mabasi ya kichina, yatakufa tuu.
Dar express ndo anakomaa kisa alikuwa wakala wa scania.

Nakumbuka ilikuwa nadhani ni kidia one from moshi to dar, it consumes about 50litres sijajua kwa scania
 
nunua kibasi kimmoja kikipata ajali na uchizi sawa.
 
mkuu jenga nyumba, apartment, au kigorofa na kumbi za sherehe mbalimbali halafu zikatie BIMA kisha pangisha hizo nyumba zitakutoa na hazitakupa mapresha na kufa haraka
 
Hawa Master Fabricators nawakubali sana. Jamaa ni hodari sana katika kutengeneza bodi za mabasi. Wana ubunifu wa hali ya juu sana. Wengine wanaojitahidi Kenya ni Choda Fabricators na Malva. Tanzania kuna Dar Coach Builders ambao wanakuja juu kwa kasi sana.

Dar Coach Builders naona Dar Express ameanza kununua toka kwao
 
Kwa kifupi hakuna kampuni itakayo acha tumia mabasi ya kichina, yatakufa tuu.
Dar express ndo anakomaa kisa alikuwa wakala wa scania.

Nakumbuka ilikuwa nadhani ni kidia one from moshi to dar, it consumes about 50litres sijajua kwa scania

50litres za mafuta kwa bus?? Oh amazing...hapa mzee kamba za kupindukia.

Dar Express anatengeneza board za mabus Dar Coach
 
Back
Top Bottom