Bei za mabati na saruji juu, Serikali ipo wapi?

Bei za mabati na saruji juu, Serikali ipo wapi?

Brigedia Chan-ocha

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2014
Posts
1,353
Reaction score
2,846
Kuna nini viwandani? kama uzalishaji umepungua Serikali iruhusu vifaa vya ujenzi kama bati na saruji kutoka nje kuingizwa nchini. Bati za Simba Dumu zilizokuwa zikiuzwa bundle 1 bati 16 shilingi 325,000/= hadi kufikia juzi bei ilikuwa imefika shilingi 400,000/= kwa bundle 1 la bati za simba dumu, kwa ujumla bei za mabati yote zimepanda kwa tofauti kubwa sana kwa muda mfupi, hata saruji imepanda maradufu, serikali iingilie kati na kuona tatizo ni nini?
 
Kumbuka
wenye viwanda sio wanajipandishia tu bei hapo wamekaa meza moja na serikali,
 
Back
Top Bottom