Bei za Mafuta mwezi Agosti 2023 kwa baadhi ya nchi za Afrika

Na huduma za kijamii zote tuletewe mkeka tujione nafasi yetu.
 
Unakuta Tanzania wameshukua takwimu ya bei ya chini zaidi kama bei ya Dar,halafu hizo Nchi zingine wametumia takwimu za bei ya juu.
Magufuli aliondoa usahihi wa takwimu Serijalini,kujua uhalisia wa hizo takwimu ni ngumu sana labda MTU aanze kuchunguza.
Tanzania sisi kwa kupika data kuanzia 2015 hatujambo na ninaona style bado inaendelea.
 
By the way kwa nini Uganda hawana Bandari mafuta ni 3,188 na Tz yenye bandari 3,199??
 
USA wanauza kwa gallon sio litter hio bei ipo kwa kipimo kipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…