Bei za mafuta Zapanda tena

Bei za mafuta Zapanda tena

Bei za mafuta zimepanda tena, hii inaashiria kuendelea kuongezeka kwa gharama za maisha
Pengine kwenye soko la dunia bei imeongezeka Ila serikali isingeongeza kodi kwenye mafuta kwenye hii bajeti mpya basi Bei zingekuwa kidogo afadhali.
Sikujua kwa nini serikali iliongeza kodi kwenye mafuta ikiwa wanajua uchumi uliharibiwa na jnaga la corona.
View attachment 1878501View attachment 1878502View attachment 1878503View attachment 1878504
mkuu, Attach pdf, ASAP.
kama utaweza mda huu

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Mama anaupiga mwingi sana yani,,,au nasema uongo ndugu zangu 😅

Huo ndiyo UKWERIIII , Ewura waongeze bei ya wese akili zitukae sawa...J4 ya mwezi wa 9 inatakiwa igonge 2800 halafu wa 10 tunamaliza kona kwa 3000.
 
Ule mwingi ulikuwa kipindi cha fungate tuu.. Sasa limeisha.. Hakika kazi iendelee.. Maa ulituingiza cha city vibaya mnooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kiongozi nimecheka utadhani mwehu! "Maa ulituingiza cha city vibaya mnooo"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wabongo tunajifanya matawi sana kutaka kutembelea mat@ko wakati wese linatushinda kununua...

Ni mwendo wa kurudi kwenye Vespa kama Wazenji/Wachina au baiskeli kama Waholanzi..
 
Back
Top Bottom