Bei za mafuta Zapanda tena

Bei za mafuta Zapanda tena

Bei za mafuta zimepanda tena, hii inaashiria kuendelea kuongezeka kwa gharama za maisha
Pengine kwenye soko la dunia bei imeongezeka Ila serikali isingeongeza kodi kwenye mafuta kwenye hii bajeti mpya basi Bei zingekuwa kidogo afadhali.
Sikujua kwa nini serikali iliongeza kodi kwenye mafuta ikiwa wanajua uchumi uliharibiwa na jnaga la corona.
View attachment 1878501View attachment 1878502View attachment 1878503View attachment 1878504
Mkuu Memento habari. Naomba utuwekee hiyo link hapa kama hutojali.
Ahsante
 
Bei za mafuta zimepanda tena, hii inaashiria kuendelea kuongezeka kwa gharama za maisha
Pengine kwenye soko la dunia bei imeongezeka Ila serikali isingeongeza kodi kwenye mafuta kwenye hii bajeti mpya basi Bei zingekuwa kidogo afadhali.
Sikujua kwa nini serikali iliongeza kodi kwenye mafuta ikiwa wanajua uchumi uliharibiwa na jnaga la corona.
View attachment 1878501View attachment 1878502View attachment 1878503View attachment 1878504
Zinapandeje wakati sshv kuna gari za umeme....
wametuzoea hawa....
 
Ule mwingi ulikuwa kipindi cha fungate tuu.. Sasa limeisha.. Hakika kazi iendelee.. Maa ulituingiza cha city vibaya mnooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu mama nchi imemshinda anaelekea kuharibu zaidi ya dikteta jiwe
 
Back
Top Bottom