Bei za mafuta zimesaidia kupunguza foleni kutoka Ubungo hadi Kimara

Bei za mafuta zimesaidia kupunguza foleni kutoka Ubungo hadi Kimara

Championship

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2019
Posts
5,500
Reaction score
10,616
Sasa hivi hata ikifika saa moja jioni pale nikishuka kwenye daraja naunganisha mpaka Kibo.

Nausubiria zile taa kisha hapo chap mpaka Bucha. Pale taa zikiruhusu ni mpaka Kimara faster.

Bei za mafuta kuongezeka kuna uzuri wake.
 
Sasa hivi hata ikifika saa moja jioni pale nikishuka kwenye daraja naunganisha mpaka kibo.

Nausubiria zile taa kisha hapo chap mpaka bucha. Pale taa zikiruhusu ni mpaka kimara faster.

Bei za mafuta kuongezeka kuna uzuri wake.
Hapa kuna ukweli kabisaa mkuu,jana nilipanda daladala kutoka Ubungo kwenda kimara aseee kwa mawazo yangu kutakua na foleni sana pale korogwe, nikajisahau kuchezea simu ghafla kimara mwisho hii hapa, lisingekua lile daraja ningejikuta mbezi
 
Yaani sasa hivi ni burudani tu, nyumbani faster.
 
Chezea wese wewe!!
Lita tatu kwa msimbazi mzima!
Mbagala Haria zetu zinaota kutu!
Daa! nimeimisi beetle yangu. Niliiuza kwa hasara!
 
Back
Top Bottom