Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
Hapa kuna ukweli kabisaa mkuu,jana nilipanda daladala kutoka Ubungo kwenda kimara aseee kwa mawazo yangu kutakua na foleni sana pale korogwe, nikajisahau kuchezea simu ghafla kimara mwisho hii hapa, lisingekua lile daraja ningejikuta mbeziSasa hivi hata ikifika saa moja jioni pale nikishuka kwenye daraja naunganisha mpaka kibo.
Nausubiria zile taa kisha hapo chap mpaka bucha. Pale taa zikiruhusu ni mpaka kimara faster.
Bei za mafuta kuongezeka kuna uzuri wake.
Maisha ndivyo yalivyo, huyu anakosa huyu anapata.Nakuongeza mapato ya mwendokasi
Yaani sasa hivi ni burudani tu, nyumbani faster.Hapa kuna ukweli kabisaa mkuu,jana nilipanda daladala kutoka Ubungo kwenda kimara aseee kwa mawazo yangu kutakua na foleni sana pale korogwe, nikajisahau kuchezea simu ghafla kimara mwisho hii hapa, lisingekua lile daraja ningejikuta mbezi
Wewe ni boss mkubwa hapa mjini kwa mindinga yote hiyo.🤣Chezea wese wewe!!
Lita tatu kwa msimbazi mzima!
Mbagala Haria zetu zinaota kutu!
Daa! nimeimisi beetle yangu. Niliiuza kwa hasara!